Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,126
akiongea kwa mbwembwe andrew chenge alijiita ni nyoka wa makengeza na huwa halazi damu mbele ya fursa za kutoka kama wanavyoita vijana siku hizi.
naomba nimuulize huko kwenye katiba pandikizi hujaweka huko fursa zako?uwe wazi ili tarehe ya kupiga kura tuihukumu kwa haki.
Nenda kapumzike kwani huna hoja. Umeibuka tu kama bundi aliyemulikwa tochi gizani. Lete hoja tuanze kuijadili. Unasikia wewe Bwana exprisoner! Samahani expertriate.akiongea kwa mbwembwe andrew chenge alijiita ni nyoka wa makengeza na huwa halazi damu mbele ya fursa za kutoka kama wanavyoita vijana siku hizi.
naomba nimuulize huko kwenye katiba pandikizi hujaweka huko fursa zako?uwe wazi ili tarehe ya kupiga kura tuihukumu kwa haki.
Nenda kapumzike kwani huna hoja. Umeibuka tu kama bundi aliyemulikwa tochi gizani. Lete hoja tuanze kuijadili. Unasikia wewe Bwana exprisoner! Samahani expertriate.
Uache maneno mabaya humu ndani, weka hoja na sio visa.------ wewe mpe kichwa chako sasa
Uache maneno mabaya humu ndani, weka hoja na sio visa.
weka hoja na sio matusi kaka kuwa muelewa tu katika hilo.kumwambia mwenzio BUNDI ndio hoja
kumwambia mwenzio BUNDI ndio hoja