Nyoka wa upako amuuwa mchungaji

Swali la kizushi, hv angeweza kukutafta kwa mda wake mzee baba si ungemtibia haya matatizo yake??
 
Mi sikuwahi jua Kama wazungu nao wanakuwaga washamba kiasi hicho🤔

Very primitive and baberic.
 
Waumini wengi ni maboya (wajinga) wakishasikia neno upako ndio imani zao zinaongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…