Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Leo kunafanyika droo ya michuano ya klabu bigwa Ulaya na Michuano ya Europa league. Droo hii kufanyika Nyon, Uswizi
Droo ya UEFA inatarajiwa kuanza saa 14:00 mchana wa leo kwa saa za Tanzania(13:00 CAT) na (11:00 GMT)
Timu zilizopo UEFA zinazosubiri kujua zitacheza na nani ni Liverpool(Uingereza), AS Roma(Italia), Real Madrid(Uhispani) na Bayern Munich(Ujerumani)
Matokeo ya droo ya nusu fainali ya UEFA ligi
Michezo hii ya nusu fainali itafanyika mnamo Aprili 24/25 na Mei 1/2. Fainali itafanyika Mei 26 katika uwanja wa NSC Olimpiyskyi, Kyiv
==
Timu zilizofika hatua ya nusu fainali ya EUROPA league ni Salzburg(Austria), Marseille(Ufaransa), Atlético de Madrid(Uhispania) na Arsenal(Uingereza)
Matokeo ya droo ya nusu fainali ya Europa ligi
Michezo hii ya nusu fainali itafanyika mnamo Aprili 26 na Mei 03. Fainali itafanyika Mei 16 katika uwanja wa Stade de Lyon, Lyon-Ufaransa
My take:
Natamani Liverpool akutane na Real Madrid, Arsenal apewe Atletico
Droo ya Europa League inatarajiwa kufanyia saa 13:00 mchana wa leo kwa muda wa Tanzania(12:00 CAT) na (10:00 GMT)Droo ya UEFA inatarajiwa kuanza saa 14:00 mchana wa leo kwa saa za Tanzania(13:00 CAT) na (11:00 GMT)
Timu zilizopo UEFA zinazosubiri kujua zitacheza na nani ni Liverpool(Uingereza), AS Roma(Italia), Real Madrid(Uhispani) na Bayern Munich(Ujerumani)
Matokeo ya droo ya nusu fainali ya UEFA ligi
- Bayern Munich(Ujerumani) Vs Real Madrid(Uhispani)
- Liverpool(Uingereza) Vs S Roma(Italia)
==
Timu zilizofika hatua ya nusu fainali ya EUROPA league ni Salzburg(Austria), Marseille(Ufaransa), Atlético de Madrid(Uhispania) na Arsenal(Uingereza)
Matokeo ya droo ya nusu fainali ya Europa ligi
- Marseille(Ufaransa) Vs Salzburg(Austria)
- Arsenal(Uingereza) Vs Atlético de Madrid(Uhispania)
My take:
Natamani Liverpool akutane na Real Madrid, Arsenal apewe Atletico