NYON, USWIZI: Droo ya Ligi ya UEFA; Bayern v R.Madrid, Liverpool v Roma! Droo ya EUROPA League; Arsenal apewa Atletico

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Leo kunafanyika droo ya michuano ya klabu bigwa Ulaya na Michuano ya Europa league. Droo hii kufanyika Nyon, Uswizi
Droo ya Europa League inatarajiwa kufanyia saa 13:00 mchana wa leo kwa muda wa Tanzania(12:00 CAT) na (10:00 GMT)

Droo ya UEFA inatarajiwa kuanza saa 14:00 mchana wa leo kwa saa za Tanzania(13:00 CAT) na (11:00 GMT)

Timu zilizopo UEFA zinazosubiri kujua zitacheza na nani ni Liverpool(Uingereza), AS Roma(Italia), Real Madrid(Uhispani) na Bayern Munich(Ujerumani)


Matokeo ya droo ya nusu fainali ya UEFA ligi
  • Bayern Munich(Ujerumani) Vs Real Madrid(Uhispani)
  • Liverpool(Uingereza) Vs S Roma(Italia)
Michezo hii ya nusu fainali itafanyika mnamo Aprili 24/25 na Mei 1/2. Fainali itafanyika Mei 26 katika uwanja wa NSC Olimpiyskyi, Kyiv
==

Timu zilizofika hatua ya nusu fainali ya EUROPA league ni Salzburg(Austria), Marseille(Ufaransa), Atlético de Madrid(Uhispania) na Arsenal(Uingereza)


Matokeo ya droo ya nusu fainali ya Europa ligi
  • Marseille(Ufaransa) Vs Salzburg(Austria)
  • Arsenal(Uingereza) Vs Atlético de Madrid(Uhispania)

Michezo hii ya nusu fainali itafanyika mnamo Aprili 26 na Mei 03. Fainali itafanyika Mei 16 katika uwanja wa Stade de Lyon, Lyon-Ufaransa


My take
:
Natamani Liverpool akutane na Real Madrid, Arsenal apewe Atletico
 
Ila mm siwapendi tu toka zamani ila alivyoingia huyo jamaa naona ndo akaniharibia kabisaa
Huyo jamaa aliiingia na mashabiki wa man u pale....aisee mitaani huwa kunachafuka sana wale watu ni wasumbufu mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…