Nyongeza ya mkopo Elimu ya Juu

Nyongeza ya mkopo Elimu ya Juu

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Katika kuhakikisha wanafunzi wa elimu ya juu wanatimiza ndoto zao Serikali ya Rais Samia Suluhu imekuja na Suluhu.

Rais Samia Suluhu ameidhinisha nyongeza ya TZS bilioni 84 kwa wanafunzi 42,000 waliokuwa na changamoto ya mikopo ya elimu ya juu, nchi nzima. Wanafunzi waliokusudiwa awali walikuwa 28,000 pekee lakini mama ameamua kuongeza idadi ili kila mwananfunzi apate haki yake na aweze kutimiza ndoto zake.

Lengo la kuongeza mikopo hii ni kuhakikisha Tanzania inazalisha wasomi wengi zaidi, kwa juhudi hizi za Rais Samia Suluhu katika sekta ya elimu ameupiga mwingi sana sekta ya elimu imeimarika kutoka shule ya msingi mpaka vyuo vikuu.
 
Kuna dogo langu yupo anasoma udakatri mwaka wa 3 anasema wametolewa pesa ya field. Hivyo hana allocation ya pesa ya field wakati afya ni sekta nyeti
 
Ajira mtawapa? maana sekta binafsi ni kama imekufa na sirikali haina ajira....
 
Back
Top Bottom