smttz
Member
- Sep 9, 2024
- 67
- 101
Kuna tetesi kwamba Nyongeza ya Mshahara (Annual Increments), itafanyika kwa kila mlengwa kwa kuzingatia mwezi wa ajira ya mwajiriwa....Kwa mfano kama uliajiriwa mwezi wa tano, basi Nyongeza hiyo utahusika nayo mwezi husika na sio kwa kuzingatia mwaka wa fedha wa serikali,kama ilivyozoeleka.
-Hii imekaaje wadau? najua humu jukwaani tunao watu wenye taarifa za ndani za wapanga sera.
Siku iwe njema kwenu wote.
-Hii imekaaje wadau? najua humu jukwaani tunao watu wenye taarifa za ndani za wapanga sera.
Siku iwe njema kwenu wote.