Nyongezaaaaa ya mshahara kwa waalimu

Joined
Aug 8, 2013
Posts
65
Reaction score
1
Msaaada kutokana na ongezeko la mshahara mwalimu wa degree science anaanza na pesa ngapi??
 
ongezeko la ln? nnavyojua waalim wote wanapata mshahara sawa labda kama kuna mabadlko mengine tuambiane mkuu?
 
Ualimu ni kupoteza muda tu..take home ya mwenye degree ni laki tatu na sitini.
 
hakuna cha mwalimu wa science wala art wote ni flat rate.
 
walimu wa sayansi wanalipwa 985700/= in their dreams. Angalia TGTS/D1 MWAKA 2013/2014.
Umoja miongoni mwa walimu ni vigumu sana.
 
Huu upotoshaji umeanza mapena sana! Mwaka jana wa fedha ulitolewa waraka batili, ukawazuzua Waalimu wengi. Je mwaka ujao wa bajeti utakuwaje? Dreams never come true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…