Hii Nyongo inategemea ntu na ntu, kuna wanaoitoa kwa kutapika wengine kwa kuharisha na wengine huwa hawapati kwabisa.
Hivi hii nyongo kisababishi chake ni nini haswa? kwasabu utasikia mlevi anasema sipendi kinywaji fulani kwasababu kina nyongo sana.
Pia kuna ile hali ya kutetemeka Mikono kwa baadhi ya watu kama wakifululiza kunywa hii inasababishwa na nini?
Nakuuliza wewe mlevi mwenzangu. Ila kama daktari akijibu itakua poa zaidi
Kabla sijakujulia hali na kukuadhibu kwanza niambie ni nani huyo mwenye jeuri ya kukuficha bila idhini yanguNyongo inasababishwa na wingi wa sukari kwenye Pombe, Kutetemeka mikono kunasababishwa na unywaji wa kupitiliza mpaka concentration ya pombe kwenye damu inakua nyingi kuliko maji.
jibu la mlevi mwenzio hapa zero pub Asprin
Kabla sijakujulia hali na kukuadhibu kwanza niambie ni nani huyo mwenye jeuri ya kukuficha bila idhini yangu