Nasumbuliwa sana na nyongo iliyozidi,dalili kubwa nilizonazo ni kucheuwa kitu kichungu sana, loss of appetite,kichefuchefu,tumbo kujaa gas, na tumboni nahisi kama kuna kitu kinazunguka.
msaada jamani kwa home remedies kabla sijaenda hospital.

Mkuu ni vyema ukaenda hospitali ili kuweza kupimwa na kugundilika nini tatizo, inaweza kuwa labda ni infection ya gallbladder, mfuko wa nyongo ama kuna mawe yamejitengeneza kwenye mfuko wa nyongo na hayo yote huleta dalili ulizozitaja, kichefuchefu, tumbo kujaa gesi.