babulakibaha JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 287 Reaction score 326 Jul 24, 2015 #1 Habari Wakuu. Nini chanzo cha nyongo kujaa kwenye tumbo na kusababisha chakula kisisagwe vizuri, kisha unaharisha na kucheua harufu ya ajabu. Naomba ufafanuzi wa kitaalum ikiwezekana tiba. Wasalaam.
Habari Wakuu. Nini chanzo cha nyongo kujaa kwenye tumbo na kusababisha chakula kisisagwe vizuri, kisha unaharisha na kucheua harufu ya ajabu. Naomba ufafanuzi wa kitaalum ikiwezekana tiba. Wasalaam.