Nyonyo ya kushoto ya avatar ya sky eclat

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Mkuu sky eclat naomba unisamehe kama nitakuwa nimekukosea heshima. Lakini itabidi tu niulize watu wengine wanisaidie huenda labda macho yangu yameanza kupata shida.

Mimi huwa naona kuwa nyonyo la kushoto kwenye avatar ya sky eclat ni Kubwa sana kuliko la kulia kitu ambacho si cha kawaida.

Wakuu kwa miowahi kuona avatar ya Dada sky nyie mwaonaje?
 
Ngoja anakuta kujibu kwenye hio avatar unayoidai kuwa ni yake kumbe si yake kiuhalisia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Makubwa haya ni camera tu mkuu
Thanks mkuu....jambo hili lilikuwa linanichanganya sana kila niiona avatar yako. Sasa Leo nimekuona MMU nikakumbuka nikasema si vibaya kama nitauliza wajuvi.
 
Hahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…