Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
- Thread starter
-
- #21
- Then ina maana moja kwamba Nyoshe bado ana nguvu, binafsi ninapenda sana Muziki wa Nyoshe na pia Sauti yake lakini siku hizi wananiudhi sana ukienda kwenye dansi lao wanatumia muda mwingi kupiga nyimbo ambazo sio super hizi bendi zote za zamani wana hiyo tabia nimewashauri sana kwamba wananchi wengi wanaokuja kwente bendi zenu wanataka kusikia muziki wenu wa zamani sio wa sasa, hizi za sasa pigeni Radioni kwanza zikibamba ndio mpige kwenye majukwaa lakini huwa siwaelewi siku hizi niliacha kwenda kabisa bora nikacheze Disco kwa Peter Moe ay skylight band wanakera sana,
- Otherwise Bella ana nafasi kubwa ya kutengeneza pesa kuliko Nyoshe, lakini tatizo ni mipango nafikiria sana kutayarisha show moja baina yao pale Leaders lakini only kama watakubali kutopiga muziki mpya kama watakubali kupiga ya zamani tu
Le Mutuz
Mkuu ukiandaa show itabamba sana