Nyota 5 'wa Kimataifa' wa Simba SC kulitetemesha bara La Afrika.

Leo (12/10/2018) ni zamu ya Haruna Niyonzima na MK14 kuingia dimbani kuliwakilisha Taifa lao dhidi ya Guinea. Mechi hii inatarajiwa kuanza saa 1 na nusu usiku.

Ungana nami kwa updates zaidi...
 
Waambie boss wao katekwa wakirudi wajipange kisaikolojia msoto kama kawa
 
Kwani micho si bado kocha wa Uganda?? kama ni bado basi ipo wazi kabisa.. anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!.. okwi alikuwa wa moto zamani sio sasa...
Kwa sasa jamaa wana kocha mwingine, na si Micho. Lengo la kukuwekea hiyo source ni kujibu hill swali...
Leo hii okwi kawa cr 7??Daah nimekubali.. 😬😬
Mkuu huyu jamaa u'CR7 anao tangu mda sana.. Na wahenga sana msemo wao.. 'Ukipewa.. Umepewa'.
 
Kwa sasa jamaa wana kocha mwingine, na si Micho. Lengo la kukuwekea hiyo source ni kujibu hill swali...

Mkuu huyu jamaa u'CR7 anao tangu mda sana.. Na wahenga sana msemo wao.. 'Ukipewa.. Umepewa'.
Pw pw umeshinda Mzeebaba bwana sembo.. mnazi wa simba..
 
Mechi ya Guinea vs Rwanda ishaaanza..

Dk 12: Guinea 0-0 Rwanda
 
Hivi yule Mwaikambo hajaitwa DRC hata timu ya Ndombolo?[emoji196][emoji196][emoji16][emoji16]
Hana kiwango cha kuchezea timu yake ya taifa kiwango chake ni kuichezea vyura fc [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Goal
Dk 45: Guinea 1-0 Rwanda

Guinea wanapata goli hapa kwa njia ya mkwaju wa penati.. Penati yenyewe ni ile tunaita Rose Muhando.
 
HT: Guinea 1-0 Rwanda
 
Goal

Dk 87: Guinea 2-0 Rwanda
 
FT: Guinea 2-0 Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…