Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
umeandika kama vile unajua kumbe ni konyagi na ugoro. NYOTA ZINAIZUNGUKA DUNIA?Kuna nyota zinazunguka dunia kwa muda mrefu ndio zitokeze tena kama mwezi unavyopotea na kutoka tena. Nyota zingine huchukua miaka mingi kuzunguka dunia
Hii ndiyo raha ya JF of GT's, kila mtu ni mjuaji.umeandika kama vile unajua kumbe ni konyagi na ugoro... NYOTA ZINAIZUNGUKA DUNIA?
[emoji23][emoji23][emoji112]umeandika kama vile unajua kumbe ni konyagi na ugoro... NYOTA ZINAIZUNGUKA DUNIA?
Hadi miaka ya 1990 hata mi nilikua naziona hadi vimondoKwa sisi wahenga "Chakula cha usiku" ni relative term.
Ngoja niangalie angani nithibitishe.... Japo sijajua hiyo "zamani" unayoizungumzia ni zamani ya miaka ipi....
Kwahiyo Mkuu ndugu yangu unataka kuniambia kwakuwa kuna kuoatwa kwa mwezi basi pia kuna kupatwa kwa nyota?Kuna nyota zinazunguka dunia kwa muda mrefu ndio zitokeze tena kama mwezi unavyopotea na kutoka tena. Nyota zingine huchukua miaka mingi kuzunguka dunia
Sasa mbona kuna watu kila siku wanamlalamikia January Makamba?Kuna ongezeko kubwa la mwanga angani
Baba yake kasema tunamsungizia tu mwanaweSasa mbona kuna watu kila siku wanamlalamikia January Makamba?