Nyota kujipanga mstari angani

Nyota kujipanga mstari angani

Ongeza24

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2023
Posts
396
Reaction score
719
Habari Wana JF, juzi usiku kwenye saa moja hivi niliona kitu Kama NYOTA zimejipanga mstari zikawa zinasogea alafu zikapotea, nikawa najiuliza maswali ni nini hiko bila majibu.
 
20241024_190602.jpg
starlink satellite hizo mkuu
 
Mie mwenyewe nilishangaa mkuu nikahisi ni wale ndege weupe ilikuwa mida ya saa moja na robo.
 
Starlink hizo zinapita.starkink staellite ndizo satellites zipo kwenye lower orbit kuliko satellites nyingine...
Zipo karibu sana na dunia ndio maana unaziona...
 
Siku hizi mtu yupo US anawazoom wabongo wa K'koo kana kwamba anatazama TV full HD.
Ndipo hawa TCRA wanakomaa kupambana kuzuia starlink internet kwa sababu ya kipuuzi eti usalama, sasa hizo satelites zinavyopita tuna usalama gani hapo, hata sio ku zoom tu unakuta zinakusanya mawasiliano yetu yote....

Kikubwa waruhusu starlink iingie, hakuna namna tunaweza kujificha mbele ya wazungu...
 
Miaka yote zilikua wapi mpaka nizione juzi 😃😃
Starlink hizo zinapita.starkink staellite ndizo satellites zipo kwenye lower orbit kuliko satellites nyingine...
Zipo karibu sana na dunia ndio maana unaziona...
 
Kwani ikiingia Kuna madhara gani na isipoingia Kuna faida gani

Back
Top Bottom