and 100 others JF-Expert Member Joined Feb 3, 2023 Posts 3,707 Reaction score 12,367 Oct 26, 2024 #21 Ongeza24 said: Kwani ikiingia Kuna madhara gani na isipoingia Kuna faida gani Click to expand... Madhara ni kwa wafanya biashara wachache waliowekeza huko kwenye biashara ya internet na kutupiga bei za ajabu...
Ongeza24 said: Kwani ikiingia Kuna madhara gani na isipoingia Kuna faida gani Click to expand... Madhara ni kwa wafanya biashara wachache waliowekeza huko kwenye biashara ya internet na kutupiga bei za ajabu...
O Ongeza24 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2023 Posts 396 Reaction score 719 Oct 26, 2024 Thread starter #22 and 100 others said: Madhara ni kwa wafanya biashara wachache waliowekeza huko kwenye biashara ya internet na kutupiga bei za ajabu... Click to expand... Kama ni hivyo wale tu hasara
and 100 others said: Madhara ni kwa wafanya biashara wachache waliowekeza huko kwenye biashara ya internet na kutupiga bei za ajabu... Click to expand... Kama ni hivyo wale tu hasara
O Ongeza24 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2023 Posts 396 Reaction score 719 Oct 26, 2024 Thread starter #23 Hahahaha Wakusoma 12 said: Mie mwenyewe nilishangaa mkuu nikahisi ni wale ndege weupe ilikuwa mida ya saa moja na robo. Click to expand...
Hahahaha Wakusoma 12 said: Mie mwenyewe nilishangaa mkuu nikahisi ni wale ndege weupe ilikuwa mida ya saa moja na robo. Click to expand...
Rweye JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,057 Reaction score 7,611 Oct 26, 2024 #24 Tulioona Ni wengi kumbe, Ngoma ilikuwa kama inatokea kas kuelekea Kus/mash. Kweli Dunia ya Mungu Ila vitu Ni ya Mungu🤣🤣
Tulioona Ni wengi kumbe, Ngoma ilikuwa kama inatokea kas kuelekea Kus/mash. Kweli Dunia ya Mungu Ila vitu Ni ya Mungu🤣🤣
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 Oct 26, 2024 #25 Sio nyota zile,malaika walikua wanafanya gwaride
O Ongeza24 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2023 Posts 396 Reaction score 719 Oct 26, 2024 Thread starter #26 steveachi said: Sio nyota zile,malaika walikua wanafanya gwaride Click to expand... Mmhhh