kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
- Thread starter
-
- #21
Jaribu kuwa na adabu shoga mkubwa wewe..
Nimekusamehe ndugu.. Mm napiga best wala sipigwii..nisamehe ndugu nilidhani unayo kweli
Hiyo ya Chibu iko wapi ili tuone ukweli ulipo.........?...
toka mwaka huu uanze hili ndio swali gumu na la kushanganza kuwahi kuulizwa
Wakati mwingine usiseme sana ukweliHuna muda mchafu au tatizo English.
Okeeee......haya sasa......leta hiyo ya Chibu.......
Tunajua wanawake mnapenda kuandaliwa basi hata katika hili?.. haya hiyo angalia au unataka nikuandae uiangalie vizuri?
Pls do......niiangalieje.....?...
Kama nihiyo Video nayy siamemuiga DAVIDO?
Ngoma drookwa hiyo?
Mim naona kilicho kuwa copy ni idea ya video ila audio vyombo vilivyopigwa vina utofauti.
Sema video gani ya Davido ............. au kama vipi iweke tuione.Kama nihiyo Video nayy siamemuiga DAVIDO?
samsungSema video gani ya Davido ............. au kama vipi iweke tuione.
Hiyo "g" haipo.samsun (g)
na yenye "g" ndo original, hiyo yako ni copyHiyo "g" haipo.
Huna muda mchafu au tatizo English.
Yangu ni original,kwasababu ndani ya SAMSUN kuna jina langu lenyewe.na yenye "g" ndo original, hiyo yako ni copy
nasikia una Mimba ya Idrisa ni kweli?