Nyota ni nini mamajusi ni kina nani?

Mwalimu, hii elimu wewe ni moja ya wakufunzi?
 
Nawaza tu,hivi kujitambilisha sana kama flani bin flani PHD kwenye maada ngumu kama hizi siyo lengo ni kuwanyima uhuru wengine katika kufikili na kuhoji!?


Wapo watakao jua jamaa ni PHD hivo anachokisema anakijua, Sasa ninachowaza sijakijua kama yeye hivo yeye Yuko Sahihi, why tusiruhusu mawazi yetu yapelekee watu kuhisi tuna PHD , samahani mleta maada ,


Japo Kuna sehemu nimeona umeonesha kwamba yeyote anaweza kuwa kama Yesu linapokuja suala la kuchungulia nyota , pale yesu anaongea na Musa,Elia na yeye mwenyewe,.


Shortly,napenda maada za rohoni , hongera pia
 
So mtu ni nyota naye anasoma nyota za watu wengine.
Na kama ndivyo hawa wanao rogana na kuchukua nyota za wengine ndio kusema Nyota ina roga nyota na kugombana zenyewe kwa zenyewe.
Na kuna mtalaama anaitwa msafisha nyota. Kwa kuwa Mtalaam naye ni Nyota maana yake anasafisha nyota wenzake.

Asante Dr Rugambwa lakini Elimu yako hii ni Ya kufikirika zaidi. Ni mambo ya kusimuliana tu na waliosimuliwa nao wakasimulia wengine.

Hakuna tofauti na Simulizi za Sungura na Fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…