Nyota njema ilianza kuonekana mapema kwa rafiki yangu

Mzee Tango pesa ilimpa kiburi sana mpaka kufikia hatua ya kudhalau mamlaka miscania yake aliitelekeza ikaozea pale yard kwake walipoweka soko kwa sasa.
 
Pacha njoo hapa nolasco tupate beer namba yako siipati
 
Nimesoma na watoto wa mawaziri mtu anamaliza form 4 anapewa V8 zawadi
Nakumbuka namaliza shule , marafiki ambao ni watoto wa vibosile niliosoma nao wanakuja na passport graduation iligongwa viza ya US
Yaani baada ya miezi kadhaa kumaliza shule, nilijikuta peke yangu nazurura mitaa ya posta na samora sina hata pa kwenda washkaji wote wako US au UK na zaidi
Sitahau kipindi kile mji niliuona shombo.....
 
Aisee
Pia na stori ya Vigu Virani ni ya kusikitisha, nadhani ni mtoto wa Virani sijui lakini
Uviko ulimchukua mzee wa watu, nilishafanya nae biashara ya kumletea spea za Mercedes Actros
Wife wanasema kavuruga biashara kwa kufukuza wafanyakazi wote wallioleta mafanikio kwa mzee
Nasikia pia alikuwa na hospitali , zote kwisha habari yake
 
Wewe anzisha kabisa, utamfunika fasta kwa haraka
 
Dooh sad story.....mie nimempoteza kwenye rada zaidi ya miongo mitatu....
 
Mzee Tango pesa ilimpa kiburi sana mpaka kufikia hatua ya kudhalau mamlaka miscania yake aliitelekeza ikaozea pale yard kwake walipoweka soko kwa sasa.
Wenye mamlaka mtihani sana....wengemchukulia kama alivyo manake mwamba hata shule ilikuwa hamna.....lakini kupitia yeye wengi walipata riziki.. 👍
 
Wenye mamlaka mtihani sana....wengemchukulia kama alivyo manake mwamba hata shule ilikuwa hamna.....lakini kupitia yeye wengi walipata riziki.. 👍
Kweli kabisa kiongozi,
Scania Truck and trela zilizoozea pale yard kwake paliopo soko la samunge kwa sasa zilikuwa ni chanzo cha kaya nyingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…