Nyota wa filamu Angelina Jolie azuru Kenya

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532

Angelina Jolie azuru Kenya ili kuzungumzia kuhusu dhuluma za kingono wakati wa vita

Nyota wa filamu nchini Marekani Anjelina Jolie yuko mjini Nairobi nchini Kenya ambapo anatarajiwa kuzungumza kuhusu dhuluma za kingono katika vita.

Anatarajiwa kuhutubia kongamano liloandaliwa na jeshi la Uingereza la kukabiliana na dhuluma za kingono wakati wa vita.




bbc swahili
 
Aisee hongera sana jolie na karibu kenya hakuna matata...hapa utapiga unge'nge wako mwanzo hadi mwisho, hadi kule vijijini huku ukieleweka fresh kabisa. Ungedhubutu kule uswahilini dah hali sio hali..ni jambo zuri maana sisi na nyinyi wamerekani ni wamoja..
 

Dah mchokozi hehehe kule south hata wakulu hawampokei kisa un'gen'ge.
 
Kenya na Marekani ni Wamoja. Ukistaajabu ya Mombasa, utayaona ya Nairobi.
 
Kama the whole nation of KENYA kuna mwenye akili, hebu niambie kuja kwa Angela Jolie Kenya kwa ajili ya campaign ya violence against women inafananaje na ziara ya Beckham na familia yake Serengeti? I call that desperation..[emoji3] [emoji85]
jiulize kwanza Angelina Jolie ni Envoy wa nini kwanza... halafu kisha jiulize June 20th ni siku kuu gani. Kisha niambie if it has to do with Kenyan women
 
Kama the whole nation of KENYA kuna mwenye akili, hebu niambie kuja kwa Angela Jolie Kenya kwa ajili ya campaign ya violence against women inafananaje na ziara ya Beckham na familia yake Serengeti? I call that desperation..[emoji3] [emoji85]


Ya Beckham yanaingiliaje hapa sasa. Tunazungumzia Jolie, wewe unaleta Beckham. Akili ya kishindani ni mbaya.
 
Angelina Jolie akae chonjo kuna kipindupindu huko..
 
Mitandao ya Kenya itaandika kuwa "Mkenya mwenzake na Lupita azuru Kenya"

Misifa Republic
 


Huyo amekuja kuona Kibera na kupiga picha, nina uhakika 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…