Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Aa wapii water access in Dar right now is comparable to none in EA's capital cities.
Contaminated water like one in Nairobi..According to whom?
And water is the biggest culprit in the spread of this and the othe diseases as well. Water supply, or lack of is not the problem.
Mastaa wengi hasa wa nje wana umri mkubwa tofauti na mionekano yao.Mbona kama kazeeka sana duh.
Ina maana hata kusoma hiyo habari iliyoanzishwa na Mkenya mwenzio umeshindwa. Kwa hiyo unabisha hakuja kwa ajili ya kampeni kupinga violence towards women? [emoji3] [emoji23]jiulize kwanza Angelina Jolie ni Envoy wa nini kwanza... halafu kisha jiulize June 20th ni siku kuu gani. Kisha niambie if it has to do with Kenyan women
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Huko wanazuru kwa shughuli za kujitolea wakati Tanzania wanakuja kula maraha. Jionee tofauti
this woman is a great actor...huyu kama Beyonce wa movies[/QUOTWewe mkenya ndo english gani hii
She is actress.
Hahaa cheki kamanda wetu hapo anavo tema yai la kweli, yaani ni nondo,nondo...aisee ingekuw ni yule jamaa asiyewasomesha wazazi, sipati picha[emoji3] [emoji3] [emoji109] [emoji191]
Aaah!!Huko wanazuru kwa shughuli za kujitolea wakati Tanzania wanakuja kula maraha. Jionee tofauti
Leta evidence the whole hotel was booked for her! Beckham n her family in total 5 slept at a 5000$/day private lodge n came with a private jet n used private chatter. Still stayed for a week. We talk of +50,000$Aaah!!
Guess who made more money?
Angelina Jolie came in a 300 capacity UN chattered Jet
Booked a whole Hotel for a week.
Ate and Travelled in 4 cities
Booked Cars for Transport
Hehe Beckham alikuja na watu wangapi TZ?
Wewe labda hujui maana ya kuzuru! Mtu anakuja kufanya kazi wewe unasema amekuja kuzuru?
Angelina Jolie azuru Kenya ili kuzungumzia kuhusu dhuluma za kingono wakati wa vita
Nyota wa filamu nchini Marekani Anjelina Jolie yuko mjini Nairobi nchini Kenya ambapo anatarajiwa kuzungumza kuhusu dhuluma za kingono katika vita.
Anatarajiwa kuhutubia kongamano liloandaliwa na jeshi la Uingereza la kukabiliana na dhuluma za kingono wakati wa vita.
bbc swahili
Umesema nyie na marekani ni wamoja? Mbona sijaona wanawaletea hata mahindi kuwanusuru na njaa!? Umoja wenu ni upi labda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee hongera sana jolie na karibu kenya hakuna matata...hapa utapiga unge'nge wako mwanzo hadi mwisho, hadi kule vijijini huku ukieleweka fresh kabisa. Ungedhubutu kule uswahilini dah hali sio hali..ni jambo zuri maana sisi na nyinyi wamerekani ni wamoja..