Nyota wa filamu za James Bond, Sir Sean Connery afariki dunia

"Martins shaken not stirred" 😎 😎
 
Sasa kati ya hao nani aliyefariki?
 
Kwa Roger Moore bila kuitaja filamu yake ya Live and let die unakuwa hujamtendea haki.

Vipi na wale bibi na babu Q and M wako hai? Na majina yao halisi wanaitwaje?
 
Kwa Roger Moore bila kuitaja filamu yake ya Live and let die unakuwa hujamtendea haki.

Vipi na wale bibi na babu Q and M wako hai? Na majina yao halisi wanaitwaje?
Ni kweli kabisa mkuu,Live and Let die ni bonge moja la filamu.
Kuhusiana na Q na M hii nafasi imeigizwa na watu wengi pia.
Bibi Judi Denchi ndio M aliyenivutia zaidi.
Kwa Q nilimkubali sana mzee akiitwa Desmond Llewelyn.
Kwenye movie alizocheza Pierce Brosnan ndio utawaona hawa wazee wawili wakiigiza kama Q an M kwa pamoja.
Bibi Judi bado yu hai ila mzee Desmond alishafariki.

Ooooh grow up 007!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…