Nyota wa mpira wa Tottenum kwajina Wanyama yupo Tanzania kwaajili ya utali na mapumziko

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kutokana na uwaba wasehemu nzuri zamapumziko nchini Kenya. Nyota wa mpira Wanyama kutoka Kenya yupo nchini kwa ajili yamapumziko
 
Lazima aje Tanzania sababu Kenya hakuna la maana.
 
This thread inanichekesha sana
Lazima ikuchekeshe. Do you know how the bigger ships turn around? Slowly...by the button called trim tab [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
nazan... Bila shaka hii ndo sahihi Nadhani
mimi ninaweza nikakufunza kiswahili pamoja na kizazi chako chote...hilo neno 'nazan' nimeandika hivyo makusudi ili kufupisha... stop being an idiot...pay attention to more important details..
 
uwaba ndio nini?
very weird threadπŸ˜€πŸ˜€
nazan umesahau kutaja kuwa nyota huyo ni Mkenya

Kenya kuna njaa....atakula nini? supermarket watu wanapigana vikumbo kwa kugombea Unga. njaa mbaya sana!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kuwa mkenya ni majangaπŸ˜€
 
mimi ninaweza nikakufunza kiswahili pamoja na kizazi chako chote...hilo neno 'nazan' nimeandika hivyo makusudi ili kufupisha... stop being an idiot...pay attention to more important details..
Labda uwe unatoka BAKITA ndo utanifundisha. Na hiyo si kusudi, Kama ni hivyo povu la nini?
 
Kipindi hiki cha uchaguzi Kenya kunakuwa na hekaheka nyingi na zingine zinatishia usalama
 
Usiwachafue wenzio wewe...kakwambia nani TEAZEE hali ni shwari...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…