Nyota wa mpira wa Tottenum kwajina Wanyama yupo Tanzania kwaajili ya utali na mapumziko

This thread could be funny in that 'waba' means something else in Sheng. Mleta mada, jaribu ku spell-check before posting.
 
Hili pili linaleta ushindani !? ...mtu na pesa zake.
 
Chakala chakala mashwetani yamenipanda!![emoji83]...dah nyota wetu ameenda uswahilini kutafuta nn jamani, anaweza akadhurika huko kwa wivu na vijicho vyao dhidi yetu..ila akienda kukwea kale kamlima pendwa ningemshauri ahakikishe amewabebesha wale porters wao pale mizigo ya ukweli, mie niliwabebeshaga watatu kila mmoja kilo sabini kichwani, afu mwendo kasi hadi kileleni! Aisee nilifarijika moyoni sana..

Hii hapa ni picha halisi waswahili wanavofurahikia ujio wa huyu nguli wa kikenya
 
Hivi kuna nn kibaya hapo hadi tunagombana watanzania na wakenya? Wanyama kaja kutembea tu Tanzania and he will remain a Kenyan citizen..everybody knows that.
Wanyama is a great football star...Every body love to have him..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…