Nyota wa Nigeria aliyehudhuria harusi akiwa na wapenzi wake 6 wenye ujauzito akosolewa na umma

Shing Yui

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
15,168
Reaction score
38,049
Nyota wa Nigeria kwenye mtandao aliyehuduria harusi pamoja na wapenzi wake sita wenye ujauzito akosolewa na umma Gazeti la Daily Mail la Uingereza limesema, nyota wa Nigeria kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram anayejulikana kama " Pretty Mike " amehudhuria sherehe moja ya harusi akiambatana na wapenzi wake sita wenye ujauzito , huku akisema yeye ndio mhusika na ujauzito wa wanawake hao wote . Nyota huyo mwenye mashabiki laki 3 kwenye Instagram pia amewabusu wapenzi wake na kupapasa matumbo yao . Kitendo hicho kimezusha hasira ya umma na kukosolewa na watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii.


Hii aione warumi 😊
 
Ushasema gazeti la uingereza.

Hao uingereza kwa sasa wamejikita zaidi kuendeleza kuruhusu mashoga, wasagaji na watu waliobadili jinsia.

Mtazamo wa wawaingereza haimaanishi kwamba ndio dunia nzima tutafanana mtazamo.

Kwa mtazamo wa Afrika hatuna tatizo kabisa.

Babu yangu alikuwa na wake 7 na watoto 40
 
Hao wazungu mbona hawawakosoi mashoga,sisi ngozi nyeusi tunamiliki hata wanawake 10 ni mfuko wako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…