Nyota ya kijani yaniharibia ndoa, msaada please

stable woman

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
3,884
Reaction score
4,479
Habarini!?
Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa tatizo ni kuwa sina hamu tena na tendo sina kabisa sijisikii chochote nikiwa uwanjani kwa fundi selemara!
Nimeweka kijiti, je nifanyeje maana naona mwenzangu anakereka! Nitaweza kurudi kwenye hali ya kawaida hapo baadae au ndio basi tena hadi nitakapoenda kukitoa?

Naomba msaada!cc@Mzizi Mkavu na wengineo
 
Selemara
 
Last edited by a moderator:
Sina hamu na hizo njia, tena sina uhakika na usalama wa hizi njia, zimeacha na tatizo la tumbo hadi hospital zimenichoka. kukosa hamu ni kawaida kwa hizi njia ila nahisi kama hazikupendi. nenda hosp watakushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…