Nyota ya Misso Misondo inaendelea kung'aa Kimataifa

Nyota ya Misso Misondo inaendelea kung'aa Kimataifa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Nyota ya Kikundi cha Burudani Misso Misondo inaendelea kung'aa kimataifa baada ya kupostiwa na Msanii mkubwa wa nchini Marekani Chris Brown.

Hii ni hatua kubwa kwao kama kikundi cha Burudani, kwani post hii ya Breezy inaongeza Milage kubwa sana ya kuheshimiwa kwa kundi lao kiburudani.

Ni mwezi tu umepitia tangu Misso Misondo walipoukwaa ubalozi wa Benki ya kifedha ambapo inasemekana kuwa wamelipwa Mamilioni ya Shilingi kwenye dili hilo.

20240129_180858.jpg


HONGERENI MISSO MISONDO.

Written by Mjanja M1
 
Changamoto kubwa walionayo hao jamaa ni kuwa hawana tena kitu kipya cha kuwaonyesha mashabiki, baada ya huu upepo wao kupita,wajiulize watafanya nini waendelee kubaki kwenye ramani
 
Back
Top Bottom