Sawa kaka Ake shetanishetani hakikupenda hata ukiwa kama gigy anakupeleka juu
Shetani kumbe una madini hivi ?shetani hakikupenda hata ukiwa kama gigy anakupeleka juu
hahahaNitakupah dahdah.........
Punguza ushauri watu wana mambo yao,Changamoto kubwa walionayo hao jamaa ni kuwa hawana tena kitu kipya cha kuwaonyesha mashabiki, baada ya huu upepo wao kupita,wajiulize watafanya nini waendelee kubaki kwenye ramani
Halafu akikufikisha juu kabisa anakuachilia sasa uanguke mwenyewe huku yeye akichekelea👻👻👻👻👻👻shetani hakikupenda hata ukiwa kama gigy anakupeleka juu
Wapi nimetoa ushauri mzee acha kukurupukaPunguza ushauri watu wana mambo yao,
Unavyowaambia WAJIULIZE wewe yanakuhusu nini?Wapi nimetoa ushauri mzee acha kukurupuka