Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
- Thread starter
-
- #21
Utaonaje ikiwa hu utabiri n WA Leo tu na NdO kwanza siku ndo imeanza punguza wenge ๐๐๐ siku inavyo enda angalia utabiri kutokana na nyota ndio utaelewaWallahi nili dhani ni mimi tu ambae naona haina uhusiano na maisha yangu๐
Kiaje mkuu๐ค๐๐พNimeiona yangu lakini imeenda tofauti na mambo yangu
Hakuna nyota wala kimondo acha kuwajaza watu...NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 13/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
โ MAPACHAโ GEMINI โ (May 21โ Juni 20)
Upo kati kwa kati hujaamua uanze na lipi Leo utapokea msaada uliokuwa unauhitaji kutoka kwa mtoto au mtu maarufu ambaye ni mdogo kwako Suala la mkopo linahitaji kufuatiliwa unatakiwa kulikumbushia Shughulika na masuala ya elimu.
โข๐๐ญ๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ข๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ ๐ง๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐๐๐จ ๐ง๐ ๐ก๐๐ฌ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ค๐ข๐จ๐ง๐ ๐ฆ๐ฎ๐ฐ๐๐ฌ๐ก๐จ ๐ฐ๐จ๐ฐ๐จ๐ญ๐ ๐ฆ๐ค๐จ๐ง๐จ ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ค๐ก๐๐ซ๐ข ๐ค๐ฎ๐๐ฐ๐ ๐ข๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ ๐ฃ๐ข๐๐ง๐๐๐ ๐ค๐ฎ๐ข๐ฉ๐จ๐ค๐๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฃ๐ข๐๐ข๐ณ๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฅ๐๐จ ๐ฐ๐๐ฅ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐๐ญ๐๐ ๐ฆ๐ฎ๐๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ฎ๐ง๐ ๐ค๐ก๐๐ซ๐ข ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ฐ๐.
โ KAAโ CANCER ๐ฆ (Juni 21โ Julai 22)
Nyumbani hakuna maelewano kutazuka ugomvi na mzozo mkubwa lawama na kashfa zitatawala kama haitatumika busara tatizo litakuwa kubwa Patatokea upotevu wa kitu cha thamani Bado magonjwa yanasumbua omba usaidiwe.
โขMaradhi madogo madogo ya hapa na pale yatakusumbua haswa tumbo na kichwa hivi vinamahusiano na mawazo mengi kupitiliza punguza hii itakuathiri pakubwa mitihani iliyopo inapita na itaisha kama unavyowaza na kujiuliza yote inaonekana itaisha.
โ SIMBA LEO ๐ฆ (Julai 23โ Agosti 22)
Leo utajikuta ni mwenye kufurahia jambo kuna msaada utapokea kutoka kwa mtu uliye anzisha nae mahusiano mapya Leo ni siku nzuri kwako kujistaresha kwa mafanikio uliyoyafikia na ulepango wa kandarasi uko pazuri.
โขKazi zako zitaenda vizuri na utapongezwa au utasifiwa kwa wema wako na utii wako.
โ MASHUKEโ VIRGO โ (Agosti 23โ September 23)
Uko kwenye eneo baya kama utanyoosha miguu utakwama kweli Lawama na mizozo isiyokwisha itakuandama na kutazuka ugomvi tumia nguvu kukamilisha mipango yako utapokea taarifa ya safari kwenda mazikoni au kumalizia msiba Sio siku nzuri kwako kufanya safari itakuletea matatizo.
โขUkikutana na mtu leo ananuka harufu mbaya dhamira zako mbaya moyoni zote zitatimia bila shaka yoyote lakini ujikinge zaidi kwakuwa baada ya hapo kutakuwa na uadui mkubwa hivyo ikiwa una shari na mtu kila kitu kitaenda vizuri lakini jikinge kujilinda zaidi utaandamwa na adui huyo baada ya muda.
โ MIZANIโ LIBRA โ๏ธ (September 24โ Oktoba 23)
Utapokea mgeni muhimu sana kwako kutoka mbali ambaye mmejuana hivi karibuni Ujio wake utafanya ubadirishe baadhi ya mpango yako ile mipango yako ya kusafiri utaifanya baadae.
โขMahusiano yako yanaonekana hayapo vizuri kwa sasa na kuna kutokuelewana hii inatokana na mmoja wenu kuwa chanzo cha kuukaribisha uadui na hii ni mwisho mbaya kwa mmoja wenu.
โ NG'Eโ SCORPION ๐ฆ (Oktoba 24โ November 21)
Sasa utajikutร unasahau yale yote uliyoyapitia wakati wa neema umefika Kazini ni kuzuri utafanikiwa kupata kazi yenye maslahi mazuri ni kipindi ambacho utajikuta heshima yako imerejea kwa kasi kubwa na biashara kuwร mzuri.
โขUkikutana na mtu ana chale usoni au shavuni leo usiyemfahamu basi ongeza kinga yako au fanya kinga maana hapo vita inaundwa upya ili kukutikisa na uchumi utayumba kidogo usiogope ni mapito.
โ MSHALEโ SAGITTARIUS ๐น (November 22โ December 21)
Utajikuta unatengana na watu ambao umekuwa nao karibu kwa kipindi kirefu marafiki wa muda mrefu watakuacha lakini usihuzunike unashauriwa kutafuta marafiki wapya ambao watakuletea mabadiliko makubwa.
โขMahusiano yako yapo vizuri tu ila jihadhari na mahusiano yako ya Siri yanaonekana hayana faida yoyote na wewe kwa wakati huu na utabiri unadhihirisha ipo siku utalia juu ya mahusiano hayo ishi na anayeishi kwa kuijali furaha yako na usiishi na anayeivuruga furaha yako hutakiwi kuilazimisha furaha inatakiwa furaha ikufurahishe wewe yenyewe kutokana na utu na uzuri wako pia.
โ MBUZIโ CAPRICORN ๐ (December 22โ January 20)
Kuwa makini hao ulionao karibu ndio wanao kuhujumu mafanikio yako yote yatapotea kama utadhalau yapo mambo mengi ya kishirikina unafanyiwa tafuta mtaalamu akusaidie Utapoteza madaraka na heshima yako itapungua.
โขUtapata furaha zaidi Leo na ikiwa kuna mtu unamdai Leo mkumbushie atakupa haki yako.
โ NDOOโ AQUARIUS ๐บ (January 21โ February 19)
Unatakiwa kuanzisha urafiki na watu unaonendana nao marafiki uliokuwa nao hawakuwa na masaada na wewe jipange upya kwa ushirikiano na mtu utakaelewana nae hivi karibuni tegemea kupata kitu au habari muhimu sana kwako.
โขUkikutana na mtu mzima mwanamke yupo kichwa wazi basi kaa chini na mwenzako kuna kitu anakivumilia tu juu yako ila hafurahishwi na kitu fulani juu yako.
โ SAMAKIโ PISCES ๐ (February 20โ March 20)
Ile hali ya vikwazo haipo tena leo utapokea pesa kutoka kwa mtu masuala ya kazi yamekweda vizuri tegemea kupata kazi mpya mara zote matumizi yako ya pesa sio mazuri jitathmimi na usirudie makosa.
โขSafari zako ni nzuri na jitahidi utekeleze uliyoyadhamiria haswa juu ya wazazi au walezi wako.
โ PUNDAโ ARIES ๐ (March 21โ Aprili 20)
Anzisha utaratibu wa kuwatembelea jamaa zako huo itakusaidia kupunguza shida zako Fanya mawasiliano nao mara kwa mara wewe hutafanikiwa kwa chochote kama kutakuwa karibu nao.
โขKazi zako zitaenda vizuri na utakuwa mwenye bahati nzuri kwa kila jambo lako leo.
โ NG'OMBEโ TAURUS ๐ (Aprili 21โ May 20)
Unahitaji upate kazi nzuri na pesa nyingi unashauriwa kukutana na wakubwa zako waombe wakusaidie katika hili watakuelekeza na utafanikiwa.
โขMatumaini mazuri na makubwa yanakuja kwako na itakufika faraja au furaha kubwa kwa namna usiyoitarajia.
โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim pia unaweza kutuma ujumbe mfupi wa sms DM,niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA โ ๏ธ๐ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.View attachment 3366426
Najua sana kuhusu hizi tabiri, hicho ulicho andika hapa na kilichopo sehemu nyingine ni mbingu na ardhiUtaonaje ikiwa hu utabiri n WA Leo tu na NdO kwanza siku ndo imeanza punguza wenge ๐๐๐ siku inavyo enda angalia utabiri kutokana na nyota ndio utaelewa
Samaleko ๐๐พโโ๏ธ๐๐พโโ๏ธNajua sana kuhusu hizi tabiri, hicho ulicho andika hapa na kilichopo sehemu nyingine ni mbingu na ardhi
Cdm imekujaje kwenye uz wangu MKUU ๐๐Hakuna nyotacwala kimondo acha kuwajaza watu...
Ccm inandanye nawe utuvuruge.!!!
Nani nimeitaja cdm?!Cdm imekujaje kwenye uz wangu MKUU ๐๐
WeweNani nimeitaja cdm?!
Ushauri tembelea viunga vya bungeni utawapataNYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 13/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
โ MAPACHAโ GEMINI โ (May 21โ Juni 20)
Upo kati kwa kati hujaamua uanze na lipi Leo utapokea msaada uliokuwa unauhitaji kutoka kwa mtoto au mtu maarufu ambaye ni mdogo kwako Suala la mkopo linahitaji kufuatiliwa unatakiwa kulikumbushia Shughulika na masuala ya elimu.
โข๐๐ญ๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ข๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ ๐ง๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐๐๐จ ๐ง๐ ๐ก๐๐ฌ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ค๐ข๐จ๐ง๐ ๐ฆ๐ฎ๐ฐ๐๐ฌ๐ก๐จ ๐ฐ๐จ๐ฐ๐จ๐ญ๐ ๐ฆ๐ค๐จ๐ง๐จ ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ค๐ก๐๐ซ๐ข ๐ค๐ฎ๐๐ฐ๐ ๐ข๐ง๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ ๐ฃ๐ข๐๐ง๐๐๐ ๐ค๐ฎ๐ข๐ฉ๐จ๐ค๐๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฃ๐ข๐๐ข๐ณ๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฅ๐๐จ ๐ฐ๐๐ฅ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐๐ญ๐๐ ๐ฆ๐ฎ๐๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ฎ๐ง๐ ๐ค๐ก๐๐ซ๐ข ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ฐ๐.
โ KAAโ CANCER ๐ฆ (Juni 21โ Julai 22)
Nyumbani hakuna maelewano kutazuka ugomvi na mzozo mkubwa lawama na kashfa zitatawala kama haitatumika busara tatizo litakuwa kubwa Patatokea upotevu wa kitu cha thamani Bado magonjwa yanasumbua omba usaidiwe.
โขMaradhi madogo madogo ya hapa na pale yatakusumbua haswa tumbo na kichwa hivi vinamahusiano na mawazo mengi kupitiliza punguza hii itakuathiri pakubwa mitihani iliyopo inapita na itaisha kama unavyowaza na kujiuliza yote inaonekana itaisha.
โ SIMBA LEO ๐ฆ (Julai 23โ Agosti 22)
Leo utajikuta ni mwenye kufurahia jambo kuna msaada utapokea kutoka kwa mtu uliye anzisha nae mahusiano mapya Leo ni siku nzuri kwako kujistaresha kwa mafanikio uliyoyafikia na ulepango wa kandarasi uko pazuri.
โขKazi zako zitaenda vizuri na utapongezwa au utasifiwa kwa wema wako na utii wako.
โ MASHUKEโ VIRGO โ (Agosti 23โ September 23)
Uko kwenye eneo baya kama utanyoosha miguu utakwama kweli Lawama na mizozo isiyokwisha itakuandama na kutazuka ugomvi tumia nguvu kukamilisha mipango yako utapokea taarifa ya safari kwenda mazikoni au kumalizia msiba Sio siku nzuri kwako kufanya safari itakuletea matatizo.
โขUkikutana na mtu leo ananuka harufu mbaya dhamira zako mbaya moyoni zote zitatimia bila shaka yoyote lakini ujikinge zaidi kwakuwa baada ya hapo kutakuwa na uadui mkubwa hivyo ikiwa una shari na mtu kila kitu kitaenda vizuri lakini jikinge kujilinda zaidi utaandamwa na adui huyo baada ya muda.
โ MIZANIโ LIBRA โ๏ธ (September 24โ Oktoba 23)
Utapokea mgeni muhimu sana kwako kutoka mbali ambaye mmejuana hivi karibuni Ujio wake utafanya ubadirishe baadhi ya mpango yako ile mipango yako ya kusafiri utaifanya baadae.
โขMahusiano yako yanaonekana hayapo vizuri kwa sasa na kuna kutokuelewana hii inatokana na mmoja wenu kuwa chanzo cha kuukaribisha uadui na hii ni mwisho mbaya kwa mmoja wenu.
โ NG'Eโ SCORPION ๐ฆ (Oktoba 24โ November 21)
Sasa utajikutร unasahau yale yote uliyoyapitia wakati wa neema umefika Kazini ni kuzuri utafanikiwa kupata kazi yenye maslahi mazuri ni kipindi ambacho utajikuta heshima yako imerejea kwa kasi kubwa na biashara kuwร mzuri.
โขUkikutana na mtu ana chale usoni au shavuni leo usiyemfahamu basi ongeza kinga yako au fanya kinga maana hapo vita inaundwa upya ili kukutikisa na uchumi utayumba kidogo usiogope ni mapito.
โ MSHALEโ SAGITTARIUS ๐น (November 22โ December 21)
Utajikuta unatengana na watu ambao umekuwa nao karibu kwa kipindi kirefu marafiki wa muda mrefu watakuacha lakini usihuzunike unashauriwa kutafuta marafiki wapya ambao watakuletea mabadiliko makubwa.
โขMahusiano yako yapo vizuri tu ila jihadhari na mahusiano yako ya Siri yanaonekana hayana faida yoyote na wewe kwa wakati huu na utabiri unadhihirisha ipo siku utalia juu ya mahusiano hayo ishi na anayeishi kwa kuijali furaha yako na usiishi na anayeivuruga furaha yako hutakiwi kuilazimisha furaha inatakiwa furaha ikufurahishe wewe yenyewe kutokana na utu na uzuri wako pia.
โ MBUZIโ CAPRICORN ๐ (December 22โ January 20)
Kuwa makini hao ulionao karibu ndio wanao kuhujumu mafanikio yako yote yatapotea kama utadhalau yapo mambo mengi ya kishirikina unafanyiwa tafuta mtaalamu akusaidie Utapoteza madaraka na heshima yako itapungua.
โขUtapata furaha zaidi Leo na ikiwa kuna mtu unamdai Leo mkumbushie atakupa haki yako.
โ NDOOโ AQUARIUS ๐บ (January 21โ February 19)
Unatakiwa kuanzisha urafiki na watu unaonendana nao marafiki uliokuwa nao hawakuwa na masaada na wewe jipange upya kwa ushirikiano na mtu utakaelewana nae hivi karibuni tegemea kupata kitu au habari muhimu sana kwako.
โขUkikutana na mtu mzima mwanamke yupo kichwa wazi basi kaa chini na mwenzako kuna kitu anakivumilia tu juu yako ila hafurahishwi na kitu fulani juu yako.
โ SAMAKIโ PISCES ๐ (February 20โ March 20)
Ile hali ya vikwazo haipo tena leo utapokea pesa kutoka kwa mtu masuala ya kazi yamekweda vizuri tegemea kupata kazi mpya mara zote matumizi yako ya pesa sio mazuri jitathmimi na usirudie makosa.
โขSafari zako ni nzuri na jitahidi utekeleze uliyoyadhamiria haswa juu ya wazazi au walezi wako.
โ PUNDAโ ARIES ๐ (March 21โ Aprili 20)
Anzisha utaratibu wa kuwatembelea jamaa zako huo itakusaidia kupunguza shida zako Fanya mawasiliano nao mara kwa mara wewe hutafanikiwa kwa chochote kama kutakuwa karibu nao.
โขKazi zako zitaenda vizuri na utakuwa mwenye bahati nzuri kwa kila jambo lako leo.
โ NG'OMBEโ TAURUS ๐ (Aprili 21โ May 20)
Unahitaji upate kazi nzuri na pesa nyingi unashauriwa kukutana na wakubwa zako waombe wakusaidie katika hili watakuelekeza na utafanikiwa.
โขMatumaini mazuri na makubwa yanakuja kwako na itakufika faraja au furaha kubwa kwa namna usiyoitarajia.
โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim pia unaweza kutuma ujumbe mfupi wa sms DM,niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA โ ๏ธ๐ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.View attachment 3366426
NaamUnapiga na ramli nikutafute ..??
Hakuna sehemu nimeandika kuhusu cdm hiyo nyota sijui vimondi vyako vinakudanganyaWewe
Hakuna sehemu nimeandika kuhusu cdm hiyo nyota sijui vimondi vyako vinakudanganya
Ilo swal kaulize hospital kwanza alafu njoo tuendelee apaโบ๏ธMalipo Ni baada ya kuhakikisha kuwa wewe Ni mtaalam au na wewe Ni Kama makanjanja wasaka tonge
Wewe nitapeli Kama matapeli wengine ๐Ilo swal kaulize hospital kwanza alafu njoo tuendelee apaโบ๏ธ
Unaweza kueleza Yeshua alitumiaje hi elimu ya Anga alipoelekeza juu Samaki wawili ( Pisceus ) na kuwaduplicate ?โ SAMAKIโ PISCES ๐ (February 20โ March 20)