Nyota yako leo Jumapili juni 22/2025

Hio picha lazima itishe watu na kuonekana nyota ni ushirikina.
Kwann usiweke profile rafiki kwa mazingira na sio hizo za ujinini
 
Sawa Mkuu nakupata
 
Hio picha lazima itishe watu na kuonekana nyota ni ushirikina.
Kwann usiweke profile rafiki kwa mazingira na sio hizo za ujinini
Wewe umejuaje kama izo picha n za ujinini?
Tuanzie apo kwanza 😂🤷🏽‍♂️
 
Utanistua kaka uwahi mapema kabla mwezi wa saba haujaisha maana sasa hivi huku ni mavuno ,ninapata hela za bure kwa wakulima kwa kuwatafsilia habari za kingereza wanakijiji ili usije fika kipindi sina hela ukaishi kinyonge kaka
Ebu kwanza pm unipe za soda mkuu😂😂
 
Zamani kabla sijaamka nilikuwa na mawazo ya wengi kwamba elimu ya nyota ni ushirikina,but baada ya kuingia deep nikagundua ni fikra hasi na ukosefu wa maarifa kwa wengi.
Ushirikina ni matumizi mabaya ya nguvu za asili ili kudhuru,kama ukitumia nguvu za asili kwa ajili ya matendo ya nuru sio ushirikina.
 
Yeah asili n kama kisu tu ,ukitumia vyema utakata mboga utapika utakula utashiba ukikitumia vibaya utaishia kwenda jela nk
 
Kabla nilikuwa sijui kwamba kumbe kila mtu ana namba yake ya kiroho ndio imebeba kila kitu kuhusu yeye hadi mwisho wa maisha yke apite wapi akwepe vipi vizuizi thus Pana watu maisha kwao ni mserereko unakuta mtu kazaa watoto tisa na wote wamenyooka tu Wana KAZI za maana, wengine biashara, wengine nje ya nchi wengine ni wasomi wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…