Nyota zinasema Taifa stars washashinda mechi,lesotho inabidi wafanye mafusho kupindua matokeo

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Taifa stars lesotho
18

Mechi itachezwa tarehe 18 na namba 18 ni shufa inagawanyika kwa mbili..Tanzania namba yake ya kitabibu ni 20,Lesotho namba yake kitabibu ni 12 hivyo Tanzania na Lesotho wote wans namba shufa.

T=20+1=21+9=20
L=12+5=17+18=35

Tanzania mechi hii watashinda uhakika kwa 100% sababu namba ya siku na tarehe na nyota inaibeba Taifa stars ..41 ni namba witiri na mwezi 11 ni witiri na siku yakuchezwa mechi jumapili hutawaliwa na nyota ya jus hivyo kitabibu lesotho kazi wanayo...pia Taifa stars nyota yao ni ya Nge hivyo huu ndio mwezi wake kinyota wanaendana sababu november hutawaliwa na Nge wakati lesotho nyota yao ni ya mashuke.

Lesotho iliwapindue matokeo inabidi wajisafishe kwa kufanya mafusho na mafusho yao ni kisti,sandarusi na vijiti vya kahawia pamoja na kafuru na wafanye mafusho haya kuanzia saa sita mchana hadi saa saba mchana..

Sioni sababu au haja ya mashabiki kusafiri kwenda kuipa sapoti mechi..mechi ishaisha
 
Nakumini Mzee hujawai potea njia......!

Na iwe Ivyo.....
 
Huu ndo UONGO WENYEWE SASA. ILI IKITOKEA LESOTHO WAMESHINDA USEME WAMEFANYA
MAFUSHO? Utabiri huu mbona hata mtoto wangu anaweza utabiri? Hauna ugumu wowote.unaweza hata sema manchester city watashinda ila team pinzani ikifanya hivi manchester watafungwa. Sababu hatupo na hatujui wanachofanya basi kwa yeyote atakeshinda bado unakuwa umetabiri.maana A NI JIBU SAHIHI NA B NI JIBU SAHIHI.
Taifa stars lesotho
18

Mechi itachezwa tarehe 18 na namba 18 ni shufa inagawanyika kwa mbili..Tanzania namba yake ya kitabibu ni 20,Lesotho namba yake kitabibu ni 12 hivyo Tanzania na Lesotho wote wans namba shufa.

T=20+1=21+9=20
L=12+5=17+18=35

Tanzania mechi hii watashinda uhakika kwa 100% sababu namba ya siku na tarehe na nyota inaibeba Taifa stars ..41 ni namba witiri na mwezi 11 ni witiri na siku yakuchezwa mechi jumapili hutawaliwa na nyota ya jus hivyo kitabibu lesotho kazi wanayo...pia Taifa stars nyota yao ni ya Nge hivyo huu ndio mwezi wake kinyota wanaendana sababu november hutawaliwa na Nge wakati lesotho nyota yao ni ya mashuke.

Lesotho iliwapindue matokeo inabidi wajisafishe kwa kufanya mafusho na mafusho yao ni kisti,sandarusi na vijiti vya kahawia pamoja na kafuru na wafanye mafusho haya kuanzia saa sita mchana hadi saa saba mchana..

Sioni sababu au haja ya mashabiki kusafiri kwenda kuipa sapoti mechi..mechi ishaisha
 
Ipo hivi tunampiga mtu goli 3

Na goli moja ni la penati...
 
Ebu tuangalie uhalisia kutokana na mchezo wa leo Uganda wameshinda hivyo wana point 13
Tz. Tuna 5
Capvedy wana. 4
Lesoto. Wana 2 wakitupiga watafikisha point 5 Sawa na tz lakini lesoto wana deni la magoli ma 5
Wakati tz tuna deni goli 1. Bado hatujapita?
 
Uwanjani ni mpira sio manyota nyota.

Nyota tangu lini ikasema si ndo uongo wenyewe huu.
 
  • Thanks
Reactions: ram
We jamaa ulinipa matumain kumbe bora niendelee kutoamini izo habari zenu......

Stupid kabisa.....!
 
Back
Top Bottom