NYT: Tanzania Welcomes Bush, but Obama Is Topic No. 1 on the Streets

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855

http://www.nytimes.com/2008/02/18/world/africa/18prexy.html
 
..nimesoma sehemu huko japan kuna kamji kanaitwa obama,jamaa wametangaza wanamuunga mkono ili kama akipata kamji kao kaonekane katika ramani ya dunia na wavune watalii kwa mamia!

..talking about obamania [obama mania]!


http://timesonline.typepad.com/uselections/2008/02/a-town-called-o.html[/url
 

Interesting!
wanajua wanachokitafuta!
 
kwa siku zote ambazo watu watakuwa bize wakiandika ubishi wa nani staa kati ya kichaka na obama kule Tanzania, kuna watoto zaidi ya elfu kumi watakuwa wamekufa kwa magonjwa yanayotibika! talking abt misplaced priorities!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…