Nyuki wamevamia jikoni kwangu

Nyuki wamevamia jikoni kwangu

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Wakuu, hapa getho kwangu Kuna nyuki wamevamia toka majuzi,, wananifanya nisiishi kwa raha,, mama watoto wangu anashindwa kukaanga vizuri hapa kwa sababu ya hawa nyuki.

Naomba mnipe dawa au namna ya kuwaondoa hawa nyuki.

Kama Kuna dawa za kupulizia ili wasepe hapa jikoni kwangu nipeni maujuzi wadau
 
Walipovamia kwangu walikumbana na dawa inaitwa HIT walifia mbali huko na waliosalimika wakatembea hawajawahi kuja tena
 
Wakuu, hapa getho kwangu Kuna nyuki wamevamia toka majuzi,, wananifanya nisiishi kwa raha,, mama watoto wangu anashindwa kukaanga vizuri hapa kwa sababu ya hawa nyuki.

Naomba mnipe dawa au namna ya kuwaondoa hawa nyuki.

Kama Kuna dawa za kupulizia ili wasepe hapa jikoni kwangu nipeni maujuzi wadau
tafuta makaratasi au ki2 chochote kinachotoa moshi mwingi,then choma kwa muda mrefu,watahama wote kama sio kufa
 
Back
Top Bottom