Nyuma Mwiko sisi. Mamelodi Sundowns tunampiga hapa kama amesimama

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nyuma mwiko kwetu. Lazima alie mtu hapa. Kipigo cha Mbwa Mwizi anakipata hapa. Yaani akijitahidi sana kuzuia 3. Mbali na hapo ni mwendo wetu ule ule wa kutandika makofi tu. 5 kwa nunge.

Si wametaka kiti? Tunawapa hadi kitanda wakalale. Na hawa Mbwa wanajiita Simba. Wakijitahidi sana Draw. Ila wanakuja kupigwa hapa. Vibaya. Na kule wakienda nako wanaenda kupigwa.

Nyuma Mwiko.
 
Kunywa maji ya baridi.
 
Mida yetu wanafiki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mamelodi 3 Yanga 2 na kweli mlimpiga
VIPI RUFAA yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…