Nyuma na hospitali ya Palestina, Sinza kuna nini? Wanajeshi wamezuia njia

Nyuma na hospitali ya Palestina, Sinza kuna nini? Wanajeshi wamezuia njia

kitonsa

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
1,211
Reaction score
2,649
Leo nilikuwa kwenye kampeni fulani Sinza, pale nyuma ya hospitali ya Sinza Palestina, nikapita njia nyuma na hospitali nikakuta kuna kibao kimeandikwa "USIPITE HAPA"

Kwa kuwa najua kusoma nikarudi nyuma, ila niliona kuna WANAJESHI

Swali langu ile njia kwa nini imefungwa?
NB: Nasikia ukipita pale unarushwa kichurachura mpaka BASI.
 
kuna kibao hawataki watu wapite ila pale si jeshini, ni njia ya mtaa tu
 
leo nilikuwa kwenye kampeni fulani sinza ,pale nyuma ya hospitali ya sinza palestina ,mara papu nikapita njia nyuma na hospitali nikakuta kuna kibao kimeandikwa " USIPITE HAPA"

kwa kuwa najua kusoma nikaludi nyuma, ila niliona kuna WANAJESHI

swali langu ile njia ....
kwa nini imefungwa?
NB nasikia ukipita pale unalushwa kichurachura mpaka BASI

Funguka ueleweke. Umeandika kimafumbo. Jf members wapo sehemu mbalimbali, si Sinza Mkuu.
 
Leo nilikuwa kwenye kampeni fulani Sinza, pale nyuma ya hospitali ya Sinza Palestina, nikapita njia nyuma na hospitali nikakuta kuna kibao kimeandikwa "USIPITE HAPA"

Kwa kuwa najua kusoma nikarudi nyuma, ila niliona kuna WANAJESHI

Swali langu ile njia kwa nini imefungwa?
NB: Nasikia ukipita pale unarushwa kichurachura mpaka BASI.
Nyuma ya hospitali ya Palestina kuna kambi ya waislaeli, ukipita haurudi.
 
Back
Top Bottom