leo nilikuwa kwenye kampeni fulani sinza ,pale nyuma ya hospitali ya sinza palestina ,mara papu nikapita njia nyuma na hospitali nikakuta kuna kibao kimeandikwa " USIPITE HAPA"
kwa kuwa najua kusoma nikaludi nyuma, ila niliona kuna WANAJESHI
swali langu ile njia ....
kwa nini imefungwa?
NB nasikia ukipita pale unalushwa kichurachura mpaka BASI
Nyuma ya hospitali ya Palestina kuna kambi ya waislaeli, ukipita haurudi.Leo nilikuwa kwenye kampeni fulani Sinza, pale nyuma ya hospitali ya Sinza Palestina, nikapita njia nyuma na hospitali nikakuta kuna kibao kimeandikwa "USIPITE HAPA"
Kwa kuwa najua kusoma nikarudi nyuma, ila niliona kuna WANAJESHI
Swali langu ile njia kwa nini imefungwa?
NB: Nasikia ukipita pale unarushwa kichurachura mpaka BASI.