Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 851
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Naanza kwa kucheka Mana najionea Hadi huruma
Nyuma ya kibodi ,najua kujieleza vibaya sana stori za hapa na pale ,najua kujitetea Sana
Live:Siyo muongeaji, siwezi kujitetea (japo Nina ujasiri),Sina stori Wala Nini ,watu wengi Sana huwa wanasema dada mbona wewe mpole Sana,unatia huruma Sana
Ukiniuzi naweza kulia ,ukitaka vichambo (Kama nimekasirika ) Basi tutumie sms
Live unanionea tu,[emoji24][emoji24][emoji1751][emoji134],nilikutana na wadada dizain ya wadada wa mwananyamala nahisi sintaongea kabisa
Kwa mpenzi wangu naweza nikawa naye Ila nikamtext Kama Kuna kitu nahitaji kumwambia (aibu)
Tuambie nyuma ya kibodi upoje