Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Sualani falsafa ya Taifa ambayo ndiyo msingi Mkuu wa shabaha na imani ya TaifaProfessor Mkuu amesikia by the way lile someone la Historia ya Tanzania ndio litazalisha wasomi wa kupambana na ukosefu wa ajira?
Wekeni motivation kwa hao walimu. Vinginevyo Ni kazi ya kulalama tuOndoa wasiwasi mkuu.kama kweli wewe ni mdau wa elimu unafaa kujua mtaala uliopo umekaa vizuri...kinachohitajika ni usimamizo na uwezeshwaji ili utekelezwe....prof anajielewa sana sema swala la somo la historia linahitaji mjadala mpana...
Mkuu wasiwasi wangu ni huuOndoa wasiwasi mkuu.kama kweli wewe ni mdau wa elimu unafaa kujua mtaala uliopo umekaa vizuri...kinachohitajika ni usimamizo na uwezeshwaji ili utekelezwe....prof anajielewa sana sema swala la somo la historia linahitaji mjadala mpana...
Mkuu victor, Mtaala ulioboreshwa umefikia darasa la saba tu tangu ulipoanza kutekelezwa.Ukifanya utafiti utagundua kuwa elimu wanayoipata watoto wetu walioko shule za msingi unawapa umahiri zaidi ya mfumo wa elimu tuliyokuwanayo hapo mbeleni.tutafika tu...Mkuu wasiwasi wangu ni huu
tafuta mwanafunzi yeyote wa tena wa kidato cha nne au sita muuleze " Falsafa a Taifa lako unasemaje?" .
Ukipata jibu linaloelweka njoo.
Mkuu wasiwasi wangu ni huu
tafuta mwanafunzi yeyote wa tena wa kidato cha nne au sita muuleze " Falsafa a Taifa lako unasemaje?" .
Ukipata jibu linaloelweka njoo.
Hali sio shwari kwa waliopo maana ni zao la mtaala wa zamani...ni vyema tukajua mchango wa wazazi na wadau wengine kama wizara husika kwenye malezi na utekelezaji wa mtaala respectively.
Garbage in Garbage Out (GIGO)Elimu bure, si Elimu Bora.
Wazazi waliambiwa wafyatue.
Kuna haja ya mtaala kuwa decentralised, ila wenye usimamizi wa kina kwelikweli.
Elimu ya Ujamaa na Kujitegenea ilikuwa sahihi zama za Nyerere, kwa sasa ELIMU YA KUJITEGEMEA inapaswa kupewa kipaumbele.
Watu wasome kadiri ya mahitaji ya jamii husika na taifa.
Umekaa vizuri kwenye vitu gani kwa mfano?Ondoa wasiwasi mkuu.kama kweli wewe ni mdau wa elimu unafaa kujua mtaala uliopo umekaa vizuri...kinachohitajika ni usimamizi na uwezeshwaji ili utekelezwe....prof anajielewa sana sema swala la somo la historia linahitaji mjadala mpana...