Nyuma ya pazia (it is for the intelligent only)

Nchi hizi rais ndo final mkuu na hakuna wa kumbishia akiamua lolote. Kumbuka jpm alikuwa mungu akiamua chochote kinafanyika. Mpaka alikuwa anaua
Mungu aliamua kuingilia kati maana tulipokua tumfikishwa na yule bwana sio kabsa
 
Watu wameshaanza kumuogopa Lissu wanataka Mikutanoya kisiasa izuwiwe tena kama ilivyokuwa zamani kwa sababu humo Chamani hakuna wenye uwezo wa kupangua hoja za Lissu !!
Wamezowea kula pesa za Chama bure bure tu 😅🙏🙏 !
Mbona steve nyerere kazipangua zote
 
That’s it ! 🙏👏
 
Ok
So if that is a case,what is the result of this Samia-Lissu movement?
To aspire or persuade the army and the other huge people like kikwete so as to agree with this movement. It is a long plan
 
So Samia is behind Lissu's movement and that's why he is fully secured and protected whatsoever he utters.
Lisu is protected by the constitution of Tanzania which provides the freedom of speech as one of the elements of democracy. So don't smear your unfounded stinking allegations on president Samia.
 

For as long as you quote the Bible , then I am out .
 
Siyo kweli kabisa. Unakumbuka G55 ambalo lilikuwa ni kundi la wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walikuwa wanadai nini? Hata hivyo madai kama yao yalikuwapo toka zamani. Baadhi ya madai yapo hata kwenye taarifa za waangalizi wa kutoka nje wa chaguzi zote kwenye nchi yetu. Zitafute taarifa hizo na uzisome kwa makini.
 
I wrote a year ago,the incumbent could be the new Abood jumbe!!!

A three government constitution will solve this and kill the so called "THE UNION" but a one government constitution is the better one!
Serikali moja ni ndoto za alnacha,na hii inatokana na ukweli kwamba Wazanzibar hawataki kupoteza utambulisho wao kama Wazanzibar kama ambapo Watanganyika walikubali kupoteza utambulisho wao kama Watanganyika na kuuvaa Utanzania kwa fikra za zidumu fikra za Mwenyekiti.

Na ukweli ulio wazi na usio tia shaka ni huu kabla ya kuungana na Tanganyika , Zanzibar ilikuwa nchi na utambulisho wao hivyo haito kuja kutokea Wazanzibar kukubali hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…