Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

Mkuu Tangazo lako lina biases, ungetoa location kabisa ili iwe rahisi kwa customers kufika
 
Vijana wa kiume mna shughuli kweli
 
Kinondoni kubwa mkuu,hebu fungua yoriyori(braket)
 
We usijaribu hiyo balaa,nishaenda hapo mbona nilibakiza nauli tu 50000 kwisha,ila huduma imo ukitoka stress pyuu,usijaribu kama una hela ya kuunga utaadhirika.
 
Duh sa hilo ni danguro bhana, afu hao ni makahaba kwahiyo wateja wa hiyo bidhaa lazima muipaishe kwa maneno mazuri na rangi za kuvutia.
Ila usiikaribie zinaa,hakunaga jema kwny hiyo mambo jomba...

Hiyo maneno ni ngumu sana kwa nguvu za kibinadamu haiwezekani kuvumilia na kuishinda. Dawa yake ni kuikimbia na kukaa nayo mbali kabisa. "Ikimbieni zinaa"
 

mmmmmmh!!!!....
 


Ngoja nitafute kalaki kangu kamoja kakupoteza niende. Kndoni maeneo gani Mazee
 
Hivi haya mambo kweli yapo au ndiyo story za vijiweni tu...siyo siri hizi story nazisikia mara kwa mara lakini naona kama watu wanaongelea kihisia zaidi kuliko uhalisia...that's why nashindwa kuamini hizi story

why can't you investigate on your own?
 
Mh kama ndo zinafanywa hivyo hakika wateule wachache wanaofanya message ndo wataiona mbingu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

mijanmamke y sasa hivi hayawezi mavivuuuu kazi kuangalia tamthilia tu.na kushinda instagram
 
yaani hapo manaume ukifanikiwa kutoka bila ya kupunguza mzigo kesho yake asubuhi nenda hospitali ukamuone dokta kha!!!
 
Hivi haya mambo kweli yapo au ndiyo story za vijiweni tu...siyo siri hizi story nazisikia mara kwa mara lakini naona kama watu wanaongelea kihisia zaidi kuliko uhalisia...that's why nashindwa kuamini hizi story

ni vizuri ukienda kujiaminisha
 
hehehe, kwenye red umenichekesha kaka!
 

na sigara je vipi au umesahau kumwambia mkewe afanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…