Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour


mdau nimekupendaa buree. ushauri wako ni shulee toshaa... agiza soda apo kwa mangi nakuja kulipia!!
 

Mkuu; hawa viumbe kazi yao ndogo sana.
Mimi ni mteja wao mzuri pale kati.

"WEWE TOKA GHETTO UKIWA UMEKUNYWA MAFUTA YA TAA". Vibaba kama viwili hivi, wataogopa kukutusi coz uko mteja wao.

Ila itawauma mno nakwambia. Try this! barafu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu; hawa viumbe kazi yao ndogo sana.
Mimi ni mteja wao mzuri pale kati.

"WEWE TOKA GHETTO UKIWA UMEKUNYWA MAFUTA YA TAA". Vibaba kama viwili hivi, wataogopa kukutusi coz uko mteja wao.

Ila itawauma mno nakwambia. Try this! barafu

Hii nayo kiboko sasa....
 
Last edited by a moderator:
Hivi haya mambo kweli yapo au ndiyo story za vijiweni tu...siyo siri hizi story nazisikia mara kwa mara lakini naona kama watu wanaongelea kihisia zaidi kuliko uhalisia...that's why nashindwa kuamini hizi story
Bado tu huamini MillionHairs....mimi nilijaribu, ni balaaa
 
aisee mi siwezi maana kichwa cha chini ni mkorofi sana akawiagi kukasirika
 
Haya mambo haya wengine mipini yetu tunaijua wenyewe haichelewi kukongoka panapo kuwa na maskhara ya namna hiyo khaswa pale wanapotia vidole masikioni oooh.
 
Kuna massage parlour moja karibu na Catalunyakwenye uchochoro hivi! Ukuta ni mrefu sana, ninahisi kuna zaidi ya massage mule ndani!
 
aisee ni sehemu nzuri sana pa kwenda weekend kule,daaaah kikubwa ufuate mashart
 
Mkuu barafu condoms wanakuwa nazo kabisa au tunajibebea?maradhi mengi siku hizi.
 
Makumbusho huduma inapatikana wapi maana Nina shida NAyo
 
Mshahàra kwa mgambo wa city unatolewa tar ngap??
 
...hahahahha..kuna kipindi ulikua ugonjwa wangu kwenda kwenye hizo 'Massage Parlour'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…