Nyuma ya pazia

Nyuma ya pazia

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Wakati mwingine, mapenzi yanaweza kuuchosha moyo wako kwa mtu ambaye unampenda ila kwake yeye anacheza na hisia zako tu..
Jaribu kufikiria kama mwanamke au mwanaume pale unapompenda mtu kwa moyo wako zaidi, na yeye anaona kama kawaida....

Penzi la kweli halitaki masihara na kuuchezea moyo wa mwenza wako. Uzuri wa mwanamke ni pale mwanaume wake anavyojua kumtunza na kummiliki vyema katika kila hatua ya maisha.

Mwanaume hushindwa pale ambapo hawezi kummiliki mwanamke wake, anaona kama kawaida. Hii ndio huleta michafuko zaidi katika mapenzi yenu... Usitegeme mtu akutunzie kitu chako, ukitaka kutegemea tegemea maisha yako.

Mwanamke anayejitambua na kujua thamani yake na utu wake wa mwili, huwa siku zote hakurupuki katika maamuzi yasiyokuwa na tija kwa mwanaume....
 
Mapenzi bwana.

Mkuu, usiku huu tena katikati ya wiki kimekukuta nini?
 
Back
Top Bottom