Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
location-kimara mwisho
details-gari linafika hadi nyumbani
-ina vyumba vitatu ,master room na sebule
-vyumba vya nje(mabanda ya uwani) viwili(2)
-choo cha nje na choo cha ndani na ina umeme
bei-million 48 (negotiatable)
contact:0718776676
0653849126
e-mail:zuberiamiri@hotmail.com
omarysaidi53@live.com
upande wa mbele inavyooneka nyumba kubwa na nyumba ndogo
upande wa mbele
mbele
Ubavuni mwa nyumba
picha ikionesha pande mbili za nyumba upande wa nyuma
picha ikionesha nyumba ndogo na nyumba kubwa
mbele
upande wa nyuma
au click here http://beingdollars.blogspot.com/2014/03/nyuma-inauzwa.html
Natanguliza samahani kwa kuleta kitu tofauti na lengo la mtoa mada:
Mimi naomba tu mnijulishe kuwa mlitumia gundi ya aina gani au kitu gani kuzuia maji yasivuje kati ya gutter moja na nyingine - katika hizo gutters za bati (za kukusanya maji ya mvua)? Mimi zinanisumbua sana, nimeweka gundi aina ya SILICONE lakini naona tatizo bado lipo, japokuwa limepungua.
daa haina maslahi mkuu siyo ya urithi hiimilioni ishirini vipi mkuu
hamna tatizo lingine mkuuKwa kimara hiyo bei ni nzuri labda kama kuna matatizo mengine
hapana muuzaji sio mimi na kiukweli gari hiyo fensi kama unavyo iona kuna parking tu ila kulaza gari si salama kulingana na hali ya usalama kwa kimara na nyumba hati ipo ila sio yangu narudia tena ssio yanguMkuu nyumba ipo hati na muhuzaji ni wewe ....vipi gari inalala ndani ya gate ?????