ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 64
- 55
Wanaweza jipatia kitoweo ๐ ๐zina popobawa au
Kwa jicho la haraka tu!.... kwa mtu mwenye reasoning.....hiyo bei,ukubwa wa eneo, ukubwa wa hizo nyumba, eneo zilipo....HAZISADIFU HIYO BEI YAKO YA MIL 49!SASA NI MILL. 49 TUU!! Kama unapenda Nyumba zenye maeneo Makubwa ya kujinafasi njoo uchukue hii.๐๐
๐NYUMBA zipo Kivule wilaya ya Ilala mkoa DSM, Nyumba zipo mbili eneo moja Nyumba kubwa inavyumba vitatu vya kulala kimoja master, nyingine ni chumba na sebule na master yake.
๐Eneo Lina ukubwa wa sqm 1550 unaweza kujenga Nyumba zingine kama hizo 5.
๐Eneo lote limezungushiwa fence ni Eneo zuri Kwa makazi au ujenzi wa apartment Kwa ajili ya biashara.
๐Bei MILLION 49 njoo uangalie Nyumba Maongezi yapo.
Simu ๐ค0718408733
service chaji kuiona 50,000
Sema kiwanja kinauzwa, hayo ni magofu.SASA NI MILL. 49 TUU!! Kama unapenda Nyumba zenye maeneo Makubwa ya kujinafasi njoo uchukue hii.๐๐
๐NYUMBA zipo Kivule wilaya ya Ilala mkoa DSM, Nyumba zipo mbili eneo moja Nyumba kubwa inavyumba vitatu vya kulala kimoja master, nyingine ni chumba na sebule na master yake.
๐Eneo Lina ukubwa wa sqm 1550 unaweza kujenga Nyumba zingine kama hizo 5.
๐Eneo lote limezungushiwa fence ni Eneo zuri Kwa makazi au ujenzi wa apartment Kwa ajili ya biashara.
๐Bei MILLION 49 njoo uangalie Nyumba Maongezi yapo.
Simu ๐ค0718408733
service chaji kuiona 50,000
Kivule ipi??SASA NI MILL. 49 TUU!! Kama unapenda Nyumba zenye maeneo Makubwa ya kujinafasi njoo uchukue hii.๐๐
๐NYUMBA zipo Kivule wilaya ya Ilala mkoa DSM, Nyumba zipo mbili eneo moja Nyumba kubwa inavyumba vitatu vya kulala kimoja master, nyingine ni chumba na sebule na master yake.
๐Eneo Lina ukubwa wa sqm 1550 unaweza kujenga Nyumba zingine kama hizo 5.
๐Eneo lote limezungushiwa fence ni Eneo zuri Kwa makazi au ujenzi wa apartment Kwa ajili ya biashara.
๐Bei MILLION 49 njoo uangalie Nyumba Maongezi yapo.
Simu ๐ค0718408733
service chaji kuiona 50,000
Kule usafiri ni changamoto.Kivule sijui kwanini hii sehemu haipewi thamani kama maeneo mengine ya Dar,wakati fulani mwaka juzi kuna jamaa nilikuwa namdai kiasi cha pesa akayumba kidogo kulipa akanipa idea ana nyumba yake Kivule aniachie nimuongeze hela kidogo sasa nikawa interested na offer aliyonipa tukafunga safari kuiona alikuwa amemuweka mpangaji.
Nikaja kurudi kimya kimya nikamuuliza yule mpangaji kwa mwezi kodi analipa bei gani nilishangaa ananiambia nyumba nzima yenye vyumba vitatu sebule jiko na vyoo ndani analipa 100K nikadhani labda uwongo nikawatafuta madalali wa nyumba maeneo hayo wananiambia ndiyo bei za kule nilichoka biashara yenyewe ikavunjika.