Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
hivi wewe bei hiyo apange nani? mbona za bei rahisi zipo
Weka Picha
mkuu mi nataka ya laki moja ntapata?hivi wewe hujuwi kuna watu hawapendi vitu vya bei rahisi?, unashangaa hiyo mbona ndogo? maeneo hayo kuna nyumba zinapangishwa mpaka dola 1000 kwa mwezi. Kwanini unatumia simu ya laki 2 wakati zipo za elfu 20?