MachoMakavu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 367
- 44
Mwenye nyumba ana taarifa ya huu mpango wako?
Mwenye nyumba ana taarifa ya huu mpango wako?
Nyumba nimeilipia mwaka mzima, kodi inaisha November this year. Natafuta mtu wa kunirudishia miezi ilobaki. Natarajia kuhama end of March.
Details:
-- 3 Bedrooms, choo, bafu na jiko.
-- Iko ndani ya fense. Kuna nyumba nyingine moja ndani ya the same fense. Kuna ua unaoweza kulaza magari sita.
-- Kodi kwa mwezi 250,000/=
-- Eneo: River Side
If interested, ni PM. Mwenye nyumba yuko poa na hii arrangement.
Hakuna mabanda ya Kuku?
Jikoni kuna sink la kuoshea vyombo na bomba linatoa maji ? kuna chumba chochote ni master kati ya hizo 3?
Ndio mkuu siunajua wajasiliamali tuna hamia na mifugo yetuMabanda ya kuku tena!?
Ndio mkuu siunajua wajasiliamali tuna hamia na mifugo yetu