Nyumba ya kisasa ina vyumba vtatu vya kulala (1master&2single),sitting room kubwa ya kisasa, dinning room, 2 public toilets,fens&parking area,maji yapo,umeme unawaka, full tiles,Nyumba ipo mta 300 kutoka barabara ya lami & 1km kutoka stand ya daladala huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu sana
0656 698232
Mkuu angalia Hyo Nyumba vzur znafanana rangi,unayoizungumzia haikua katkat ya fens na ilkua kwa nyuma kuna mnara ile bado ipo sema bei yake imeshuka kdgo so hii n tofaut na ile