Nyumba aina ya Bungalow zinakuwajekuwaje?

Nyumba aina ya Bungalow zinakuwajekuwaje?

5A109B1F-1093-42A9-AF4B-D6404203E9C1.jpeg
 
Ni nyumba ya kuishi watu yenye ukubwa wa kadiri iliyojengwa kwa mtindo wa mgongo wa bati kumwaga maji pande tofauti tofauti, inaweza ikawa nyumba isiyo ya ghorofa au ghorofa moja...

Nyumba nyingi Tanzania ni za mtindo huu, ingawaje wapo wanaotumia vibaya msemo wa bungalow wakimaanisha nyumba za ghorofa pekee...

01.jpg
 
A bungalow is a small house or cottage that is either single-story or has a second story built into a sloping roof, and may be surrounded by wide verandas
 
Bungalow ni neno lilotokea Bengal, India
Kwenye miaka ya 1800 wahindi walikuwa chini ya Muingereza hivyo wazungu walipotaka mabalozi wao wajengewe nyumba za haraka

ndipo wakajengewa hizi bungalow ambazo ni za chini, na ndani kukiwa na space ya kutosha kama sitting room kubwa na dinning room pamoja na jiko kubwa ila inachukua ardhi sehemu ndogo

Baadae wazungu wakachukua hiyo staili na kuipeleka kwao na haswa [emoji631] ndio walizijenga sana ila kwenye ardhi kubwa nyumba ndogo
 
Kuna Bungalow, kuna Duplex kuna Studio, kuna apartment, kuna tiny house tuanze na ipi?
 
Back
Top Bottom