Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Ushapata nyumba? Ninayo sifa zote hapo juu,ila one self na nimejengea kabati ukutani.Nyumba/apartment ya kupanga nje ya mji inahitajika HARAKA
maeneo yote ya Kigamboni, Bunju, Mbweni, barabara ya Bagamoyo
Iwe na vyumba 3 at least 2 self-contained, Lounge , Dinning
Iwe nje kabisa ya jiji Dar, at least 25 to 40 km
Iwe na facility zote umeme , maji, n.k
Iwe na USALAMA fence
Iwe na parking ikiwezekana
Iwe karibu na barabara kubwa
Kwa yeyote mwenye taarifa ani PM
Ndio!Toka April mpaka leo unahisi atakua hajapata mkuu?
Shukran sana, ilikuwa issue corona ya kuepuka msongomano wa katikati ya mji.Ushapata nyumba? Ninayo sifa zote hapo juu,ila one self na nimejengea kabati ukutani.
Iko wapi hii boss?Ushapata nyumba? Ninayo sifa zote hapo juu,ila one self na nimejengea kabati ukutani.
Kerege/ Bagamoyo.Iko wapi hii boss?
Iko Mbweni Teta vyumba,4,3 self electric fence unahitaji?Nyumba/apartment ya kupanga nje ya mji inahitajika HARAKA
maeneo yote ya Kigamboni, Bunju, Mbweni, barabara ya Bagamoyo
Iwe na vyumba 3 at least 2 self-contained, Lounge , Dinning
Iwe nje kabisa ya jiji Dar, at least 25 to 40 km
Iwe na facility zote umeme , maji, n.k
Iwe na USALAMA fence
Iwe na parking ikiwezekana
Iwe karibu na barabara kubwa
Kwa yeyote mwenye taarifa ani PM