Nyumba au Gari??

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Unaanza maisha umepata zari la kuzawadiwa kimoja, gari au nyumba, unachagua kipi??
 
Huwezi kulinganisha nyumba na Gari. Gari thamani yake inashuka kila kukicha wakati Nyumba inapanda kutokana na kiwanja kutokushuka thamani. Nyumba ndio mpango mzima.
 
Reactions: CTX
Jenga nyumba ibomolewe kama TANESCO Ubungo
 
Kwa kuzawadiwa nachagua mjengo ila kwa jasho langu naanza na gari mkuu kuepuka kero za majasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…